JE WAJUA MAENEO MUHIMU KATIKA MWILI WA MWANAMKE YA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA?SOMA HAPA

JINSI YA KUMFURAHISHA MWANAMKE KITANDANI KATIKA MAPENZI. 
   Why Women Prefer Bad Boys 
Hapa ni mambo 10 muhimu, ambayo mwanaume ukiyafanya kwa mwanamke wako, hakika utakuwa umejijengea ulinzi wa yeye mwenyewe kujilinda dhidi ya mwizi au dokozi yeyote huko nje. 

Mfanye Mwanamke aanze kufika mlima kilimanjaro kabla hujaanza kumuingilia. 

Inawezekana likaonekana jambo geni na la kushangaza kidogo, lakini ukweli ndio uko hivyo. 

Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi. 

Wengi huwaandaa wanawake kwa lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini wanawake wengi wangependa zaidi ya hapo. 

Ikiwa mwanaume utaweza kumfanya mwanamke afike mlima Kilimanjaro na kutua mizigo yake kabla ya kumuingilia, unajiongezea nafasi ya kumfanya afurahie lile tendo la ndoa zaidi na kukuweka miongoni mwa wanaume walio bora kabisa wa maisha yake. 

Hii humfanya awe tayari yuko kwenye hali ya kuhitaji tu kuingia kwa uume wako aweze kupiga bao la pili, na hii inamaanisha kuwa inaweza kuwasaidia sana wale ambao huwa wanakabiliwa na tatizo la kufika kileleni mwa mlima Kilimanjaro haraka sana. Hata ukipigwa bao la usoni sawa tu…Mruhusu!!! 

#2 – Vumbua maeneo mengine yenye kumsisimua 
Ndio, sote tunajua kuhusu matiti, kunyonya ulimi na mengine, lakini hadithi haitakiwi kuishia hapo tu. 
Kama ambavyo wanaume wamezoea baadhi ya maeneo yenye kuelezwa kuwa yanamsisimua sana mwanamke, ndivyo ambavyo nao huzoea sana kusisimuliwa kupitia maeneo hayo. 

Hii maana yake ni kuwa, unaweza kujikuta unazama kwenye ile hali ya kuzoeleka sana, ambapo akikuona tu, anakuwa tayari anajua huyu ataanza hapa, ataishia pale na atapofika mlimani namna hii. Hili haliwezi kumsisimua mwanamke. 

Mwili wa mwanamke, una maeneo zaidi ya 16, ambayo yakichezewa au kuguswa kiufundi wa kimahaba, huweza hata kumfanya mwanamke huyo kukojoa kabla ya kuingiliwa. 

Wangapi tunajua kuhusu A-Spot? ….. ufahamu vizuri mwili wa mpenzi wako, na uuzingatie wote kwa ujumla wakati wa kufanya mapenzi naye, na hakika utakuwa shujaa wake. 

Matiti yakisisimuliwa vizuri ni kiungo cha ajabu kwa mwanamke! 

#3 – Usiwe kama kuku 
Ndio, licha ya kuwa hapo awali tunaambiwa kuwa ikiwa utaweza kumfanya mwanamke afike kileleni kabla ya kumuingilia, unamjengea mazingira ya kufika kileleni haraka pindi unapomuingilia, lakini haimaanishi basi uwe kama kuku au risasi, kwamba ikishachochewa tu basi inachomoka kwa spidi isiyomithilika. 

Mwanaume kudumu kwenye tendo kwa muda wa kutosha, ni moja ya mambo yenye kumjengea heshima kwa mwanamke wake na kumuona kuwa yu shujaa. 
Sometimes, pumzi zako kitandani zinaweza pia kutafsiriwa kuwa ni pumzi za mtaani, na kama kitandani hauko nazo za kutosha, itakuwaje siku mmevamiwa mkiwa matembezini na watu unaotakiwa kupigana nao? 

Tofauti kubwa sana baina ya wanaume na wanawake ni kuwa, wanaume wengi hujamiiana kwa minajili ya kufika kileleni, ilhali wanawake hujamiiana kwa minajili ya kustarehe. 
So, usiifanye starehe hiyo kuwa ya dakika moja…lakini pia usiiifanye kuwa ya kukarahisha, kama ambavyo wanaume wengi wanaamini kuwa kumsugua mwanamke uchi hadi akahitaji barafu la kujikanda ili ipoe, ni ushujaa. 
Nusu saa hadi dakika 50 ni muda muafaka kabisa, na zaidi ya dakika 60, kwa wanawake wengi inaweza kuwaondolea sence ya starehe na wakajiona kama wanalipishwa walicholishwa. 

#4 – Maandalizi ya kumpa mshawasha wa kuihitaji 
Ndio, wapo wanaume wengi tu wanaoweza kujinadi kuwa wanajua kuwaandaa wanawake zao kwakuwa wanajua kuwanyonya vi**mi, kunyonya matiti nk, lakini ukweli ni kwamba wengi hatuko hivyo. 

Kama ambavyo nimetanabaisha hapo awali, asilimia kubwa ya wanaume huwachezea wanawake sio kwa lengo la kuamsha hisia zao kwa ajili ya kujamiiana, bali kwa minajili ya kuwafanya wapate ule ute ambao utawarahisishia wao kuingia. 

Kitu kikubwa wanachopendelea wanawake, ni aina ya mwanaume ambaye anaweza kumfanyia vimichezo vya kumtia hamu hadi ikiwezekana aanze kuulilia muhogo. 

Jidai kama unataka kumnyonya ki**mi, lakini usifanye hivyo, pumua usawa wa mdomo wa uke wake kiasi cha kumfanya ahisi pumzi yako, mlambe mapajani…sio lazima kila siku iwe kwenye tundu la uke……. 

Haya ni baadhi ya yatayomfanya aanze kutamani kwani unakuwa tofauti tofauti, na ukiamsha hisia zake kwa namna ya kipekee. 
Na hili basi ndilo lenye kupelekea umuhimu wa jambo jingine lifuatalo ambalo wanawake hulihitaji….cheki namba 5 hapa chini 

Tumichezo kama hutu twa Manaiki Sanga tunasaidia… 

#5 – Faida ya ulimi/mdomo kunyonyana 
Inashangaza sana kwa kweli…wakati wanaume wengi wamekuwa wakijisifia sana kwa kuwafanyia maandalizi wenza wao, tafiti zinaonyesha kuwa, zaidi ya asilimia 70 yao wamekuwa wakieleza kuwa wanafanya hivyo kwa kutumia tu vidole vyao. 
Sawa na ambavyo asilimia 70 ya wanawake walisema kuwa wanadhani kwa kutumia tu viganja vyao wanaweza kumfanya mwanaume akasimama vya kutosha kuwaingilia. 

Ukweli ni kwamba, hii sio sahihi kabisa. 
Umepewa viungo zaidi kwa ajili ya kumfanya mwenzako aweze kufurahia tendo la ndoa, na ikiwa unaweza kuvitumia, kwanini unavibania bania ?. 

Unaona kinyaa kwa mwenza wako au ni nini hasa? Tumia ulimi wako, mnyonye kila mahali ambako unadhani ulimi huo unaweza kufika na ukamfanya aseme “Oh…am going crazy” 

#6 – Msisimue kwa kauli zako 
Wanaume wengi sana huwa mabubu wawapo kitandani wakihofia kuwa wapenzi wao watawafikiria namna gani vipi wakisema sema wakati wanajamiiana nao… 
lakini mbona wengine huwa wanaishia kupiga makelele wanapotaka kushusha mizigo yao? 

Kama unaweza kushindwa kujibana kupiga kelele wakati wa kukojoa, kwanini basi ujizuie kumpa maneno matamu matamu wakati unaendelea kumstarehesha? 

Nong’ona kwenye sikio lake, mweleze kiasi gani ni mtamu….hata zile oooh….sss….mmmm zako, zifanye sikioni kwake….. 
wanawake huwa hawajisikii raha sana wanapokuwa wanaguswa hata kwenye kitu gani wakati wa kujamiiana, ikiwa mwanaume yuko kimya tuuu, utadhani dumwana ambalo linashangaa kilichoko mbele yake. 

Anakuwa hajui kama unaenjoy anachokifanya kwako au laa. 
Ni sawa na wewe mwanaume, unajisikiaje pale unapokuwa umemgusa mwanamke mahali fulani penye mzizi wa utamu na akaanza kukwambia kwa ile sauti ya kipekee akisema “hapo hapo…hapo hapo jamani raaaha”…. 

Epuka tu sauti yako isiwe ambayo itamfanya anywee kama alomwagiwa maji ya baridi ilhali alikuwa anakaribia kuanza kuelea angani. 
Unaweza kumsifia hata kabla gemu halijaanza…. 

#7 – Jenga mahusiano ya macho yenu 
Hivi, ishakutokea ukakojoa ukiwa unamtizama mpenzi wako machoni kwa muda wote wa tukio hilo tu la kukojoa? 
Au kumtizama machoni moja kwa moja yeye akiwa anakojoa? 
Kwa taarifa yako, hili ni moja kati ya mambo yaliyo na raha ya kipekee ambayo huwezi kuelezea kwa maneno. 

Mawasiliano ya macho wakati wa kujamiiana, huimarisha sana ile hali ya msisimko baina yenu na ikiwa inatokea mwanamke uliye naye alishawahi kutokewa na mwanaume ambaye wakati wanajamiiana alikuwa akimtizama usoni moja kwa moja, basi si ajabu mtapomaliza akajitoa kimaso maso na kukuuliza “mbona ulifumba macho wakati unakojoa”, na hapa atakuwa akimaanisha kuwa kuna ulichomnyima. 

Mwanaume, jitahidi kubadili utaratibu wa kila siku kuzima taa wakati mnajamiiana, acha taa ziwake wakati mwingine, na zipo taa ambazo zenyewe tu kwa uwezo wa rangi zake, huwafanya mjihisi mko dunia nyingine kabisa, kumbe ni kwenye kitanda chenu kile kile ambacho kila siku mnakitumia. 

Mazoea ni mabaya, lakini haimaanishi kuwa hamuwezi kubadilika, na ikiwa unaweza kuongoza jahazi la mabadiliko haya, akizoea hakika atakuwa akikufurahia zaidi. 

#8 – Mzingatie baada ya kumaliza kujamiiana 
Jambo moja ambalo wanaume wanafanya makosa, ni kumu-ignore mwanamke punde wanapokuwa wamemaliza kujamiiana. 
Hawajui kuwa, huu ni muda ambao mwanamke anakuwa yuko wazi mno kwao, muda ambao unaweza kumueleza lolote na akakuelewa zaidi ya ambavyo angekuelewa wakati mwingine wowote ule.

Kimaumbile, wanawake hawakuumbwa kupoa haraka pindi wanapokuwa wamemaliza lile tendo la kuingiliwa. 

So, unaweza kuwa umemkojolesha na kumgusa kila angle ambayo unaijua, lakini kitendo cha kumkumbatia, ukampiga busu na kumwambia “asante”, huku ukimruhusu alaze kichwa chake tu kifuani mwako kwa kupumzika, kina maana kubwa sana, iliyo sawa au hata zaidi ya kitendo mnachokuwa mmetoka kukifanya. 

Huu ni wakati wa kummwagia kila aina ya sifa ambayo anaistahili, na ndio muda muafaka wa kumuandaa kuwa na hamu ya wewe safari nyingine utapomhitaji. 

#9 – Mpe fursa ya kuliongoza jahazi kwa niaba yako 

Wanaume wengi sana wameumbwa kutaka kuwa vinara kwa kila kitu, hata wanapokuwa kwenye kujamiiana, hupenda wao ndio waongoze kila move. 

Sio mbaya kwasababu wanawake nao wameumbwa kuwaongoza wanawake na hilo linaeleweka. 

Ni kweli kuwa una wajibu wa kuhakikisha unamgusa kila anapotaka, umfikishe kileleni anapopaota, lakini kwa upande wa pili, kuna asilimia kubwa tu ya wanawake ambao wangependa sana kupewa fursa ya wao kutawala dimba wakati wa mchezo. 

Sio suala la kumwambia, leo mie nitalala tu na kukuacha uhangaike na mhogo wangu unavyotaka, laa…atakuona mdhaifu, uliyechoka au unayemsusia tu. 

Kwa kutumia ile ile dhana ya wewe kuongoza jahazi, hakikisha unatengeneza mazingira ya yeye kuutawala mchezo na kuongoza mashambulizi kuelekea anakoona kuwa mshambuliaji atafunga goli la msimu. 

Wanawake wana-enjoy sana wanapoona kuwa wanaume wao wamewapa mamlaka ya kutawala dimba, kwani hiyo huwajengea fikra za kuwa wanaaminika kiuwezo, kiuchezeshaji na hata kiumaliziaji. 

Wapo mfano wanawake ambao hupenda sana kunyonya muhogo ya wapenzi wao hadi kukojoa, lakini anapotaka kujaribu tu, unakuta janaume hilo, linamwambia aaah, mie sipendi hiyo….au anamuacha ila akikaribia anaanza kumwambia acha nitakojoa …. si umuache? 
Kwani unadhani yeye hajui kuwa akikunyonya utakojoa ?. 

Mpe nafasi, anyonye anavyotaka, hata kama ni kukojoa, mkojolee mdomoni tu, maana yu ajua kuwa ndio mwisho wake, lakini kwakuwa anataka umfanye, lazima atajua pia namna ya kukurejesha askari wako awe mkakamavu. 

Hata kama akitaka “akufanye” mruhusu tu…!!! 

10 – Ondoa mazoea 
Wanaume ni watu wa ajabu sana. 
Wakati wanaweza kujisifia hadharani kuwa naweza kumfanya hivi mwanamke, nikamgeuza vile, nikamnyanyua hivi na vile, tafiti za kisayansi zinabainisha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume, huwa hawapendi sana kuwataka wapenzi wao kubadili staili wakati wa kujamiiana. 

Ndio, inawezekana mnatumia staili mbalimbali, lakini sio kwasababu mnaambiana, bali kwakuwa unaweza kuta leo imetokea mwanamke alijiteka kifo cha mende, basi utaendelea…kesho akijitega mbuzi kagoma kwenda, itaendelea hivyo hivyo. 

Uchunguzi ambao umethibitishwa na wataalamu ni kuwa, wanawake huwapenda sana wanaume ambao wana uwezo na courage ya kuwataka wabadili mikao wanapokuwa wakiendelea na game. 

Ni kama mchezaji wa football vile, anavyowasisimua watazamaji pale anapoanza ku-invent mbinu za kubadili mchezo wakati mchezo ukiwa unaendelea.
Hata kubadili mazingira tu yaweza kuleta msisimko wa kushangaza 

NYONGEZA AMBAYO NI KITU CHA MUHIMU SANA, 
Kama ulidhani kuwa shukrani kwa mwenzako ni asante tu, basi ulikosea. 

Hivi, unadhani wale makahaba wanaouza miili yao kule huwa hawaambiwi asante kwa huduma zao? Wanaambiwa sana tu, lakini mbona hawawakubali wale wote wenye kuwashukuru? 

Shukrani kwa mwenza wako inatakiwa iwe ya kivitendo zaidi. 
Ufanye mwili wako uonyeshe kuwa unashukuru kwa vile anavyokupa mwenzako, kabla hata ya kutamka kwa mdomo wako kumshukuru. 

Kushukuru kwa mwili ni pamoja na kuwa “gentle” wakati wa kujamiiana kwenyewe, na sio unakuta mtu unakazana kumsugua mwanamke wako utadhani unadhamiria kuhakikisha kuwa unafidia bia na vinywaji ulizomnywesha, au mahari kubwa waliyokulipisha wazazi wake wakati wanakukabidhi (kama ni mkeo wa ndoa)

What Do Guys Like in a Girl’s Appearance?

What do guys and girls notice on a date?

Now these preferences may reflect what guys notice in girls all the time. But what about on a date? What do guys notice most? And what do girls notice and overlook in a guy? These facts by our experts should help you there.

So what do guys like in a girl, really?

Do you think they reflect your preference, or do you believe some guys are just wrong in the head? But all said and done, the poll does reflect the preferences of most men, and we’ll just have to live with that.

But ears and nose too, guys, seriously? We’re confused because we just added those for fun! Perhaps, a few people do love ears, or someone other than us does have a sense of humor too when it comes to figuring out what men find attractive in women!

Rounding it all up though, what do guys like in a girl physically? The poll seems to have revealed the obvious.

Men love breasts, butt and legs.

And all three are just too close to name a clear winner though!

So clearly, what do guys like in a girl’s appearance? Perhaps, it’s to each his own. Or perhaps, no one really knows what men find attractive in women. Or just maybe, girls are just so cute as a button that guys like just about everything in a girl!

MVUTIE MPENZI WAKO KWA MANENO MATAMU

 Imani hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufua yaliyopoteza uhai, lakini mapenzi hufanya mambo yote yaonekane mazuri. Sina linalonihuzunisha maishani mwangu kwa kuwa tunapendana!

 Love doesn’t make the world go round, it just makes the ride worthwhile. Love is in your heart not to stay, but to be shared.

 Mpenzi wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambo muhimu matatu. Jambo la kwanza ni kumpata umpendaye, la pili ni kupata atakayekupenda la tatu ambalo ni kubwa kuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuungana pamoja.

 If you love someone, you give everything as you can and don’t expect to receive anything in return.

 Ni vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule atakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasi inapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letu laazizi wangu.

 Mpenzi nakupa pole sana maana nimesikia habari mbaya kwamba unatafutwa na polisi kwa kosa kubwa sana ambalo huwezi kulikana na lina ushahidi wa kutosha kwamba unatuhumiwa kuiba moyo na mawazo yangu kiasi cha kunijeruhi mawazo yangu hadi sasa naonekana kama chizi.

 When you will find any reason for your love,you should know that your love is not true….because true love has no reasons…

9 Things that reveal how your partner truly feels about you

1. “Eye contact”

The eyes reveal a lot. If your partner finds you special, you will get lots of eye contact, you will be stared at because you’re getting all the attention, you will feel looked at, desired, attractive, searched out, there will be this fire, this affectionate look. But if your partner has become too familiar with you, is bored with you, feels superior to you; you will get a condescending look. Just by studying the eyes, you can tell your partner is mad at you.

2. “The tone of the voice”

Don’t just listen when you are being told ‘I love you’, pay attention to the tone when those three words are spoken. How does your partner talk to you? In a harsh way? Does he/she talk with you or at you? Can you sense resentment? Or is the tone warm, peaceful, non-combative? No matter how much we try to hide, the voice reveals how we feel towards someone.

3. “Touch”

When you feel strongly for someone, you will become touchy. Humans have touch sensations because it’s part of how we relate. When your partner feels close to you, he/she will not keep hands off you. You will be touched on your elbow, waist, hands, fingers.

4. “How much time the person spends with you”

We allocate time to what is of value to us. If your partner feels deeply about you, your partner will long to spend time with you. But if your partner is indifferent towards you, is tired of you, finds you unpleasant; your partner will avoid you or even make excuses not to be with you.

5. “The condition your partner leaves you in”

When your partner cares for you, he/she will not part with you when you are not well. He/she will not hang up the phone call when your heart is broken, he/she will not leave the house with you feeling hurt, he/she will not leave your presence until you feel better. But a partner who doesn’t care for you anymore will not care about your feelings, he/she will hang up the phone as you suffer pain, he/she will end the day abandoning you in your hurt, he/she will leave the house with your heart broken and unattended to.

6. “How much value your partner gives to you your opinion”

A partner who thinks highly of you will seek your thoughts on issues, he/she will not push you away or silence you.

7. “The quality of the kiss”

You can’t fake a kiss. You cannot be mad or thinking negatively about your partner and give your partner an amazing kiss. A kiss will tell you if things between you two have changed or everything is well.

8. “How you are treated after sex”

The pursuit of sexual pleasure can make your partner treat you so good even during a long period of animosity between you two. He/she will treat you special so that you fulfill those pleasures but will you get special treatment after? How someone treats you when sex is not part of the goal or equation reveals their true feelings.

9. “How you are treated during storms”

The words and deeds from your partner when you do wrong, when things get tough, when you ask for help, when you do something embarrassing, when the world is against you, when you hit rock bottom best demonstrates your place in your partner’s heart. Fake friends abandon you when things get tough, so does a fake partner.

HIZI NDIZO TOP 4 ZA STAILI YA KUFANYA MAPENZI ILI KUKUSAIDIA USIKOJOE MAPEMA

stairi kufanya mapenzi huko mtaani,lakini sio zote ni nzuri kwa ajili yako na kwa ajili ya kumridhisha mpenzi wako,labda kama unataka kukojoa mapema.

Kama unachelewa kukojoa kunastaili ambazo ni bora kwa ajili yako ili uweze kuwahi mapema,lakini kama unajua huwa hudumu kitandani na mpenzi wako basi kuna aina aina ya stairi ambazo unatakiwa kuzitumia ili angalau zikusogeze kidogo kuliko kutoa haraka.Kama unataka kuchelewa kukojoa tunahitaji kukwambia siri ambazo zitakusaidia kuchelewa kukojoa mapema kabla ya kuingia kwenye mada moja kwa mojaKama unataka kuchelewa kufika kileleni basi epuka kutumia

POMBE,SIGARA,UTUMIAJI WA SUKARI ULIOPITILIZA PAMOJA NA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA,pia usifanye mapenzi kwa haraka haraka wakati wa mahaba,nenda taratibu,hatahivyo wanawake wanapenda taratibu na kwa uhakika.Ingawa hizi stairi zitakusaidia kuweza kudumu kwa muda mrefu bila kukojoa mapema,lakini kama hautaelewa mbinu chache sana,basi haitakusaidia

hatakidogo.Unachotakiwa kuelewa ni kwamba tukio lote linategemea ubongo wako na kila kitu unachokifanya kiko pale.Kwa hiyo kila kitu unachokifanya kinategemea na kiasi cha hisia,pawa ya kupampu,kupumua pamoja na kontrol ya misuli yako.

Kwa hiyo kabla hujafanya chochote,hakikisha unafanya msawazo wa ubongo wako na usilifikirie tendo hilo sana,kwa sababu kama ukilifikiria sana tendo hilo nguvu nyingi zitaenda kule.Pia Kama unamatatizo ya kuzaliwa au ugonjwa uliokusababishia kuwa hivyo  mbinu hizi hazitakusaidia kabisa.Tunaamini tumekupotezea muda ngoja sasa tuingie kwenye mada moja kwa moja kwa haraka bila kuchelewa hizapa chini ni stairi  4 muhimu sana zitakazo kusaidia kuchelewa kufika kileleni


1. MSICHANA AWE JUU.
Kama umewahi kugundua hilo,wanawake wanapokuwa juu,pawa yao ya kupampu juu chini sio kalai sana kama ya wanaume mara nyingi wanakuwa wako pole pole na kwa ufasaha zaidi
Kama mwanamke  nae anaijua hii stairi kuwa itamsaidia mwanamme wake anaweza kufanya hiki kitu kwa ajili ya kumsaidia mpenzi wake,anaweza kumshika tumboni kwa vidole vinne na hili likaweza kumsaidia kuchelewa kufika kileleni.
2. NDANI-KWA-MUDA.
Stairi hii mara nyingi hufanyika mwanamme akiwa juu,pia ni njia ya kukusaidia kuchelewa kufika kileleni kwa haraka.
Mbinu hii itakusaidia kubadili muda wa kupampu kati ya ndani sana na kwa juu  juu ya sehemu za msichana Kwa sababu mipigo mifupi mifupi itakusaidia kuchelewa kufika kileleni kwa sababu misuguano inakuwa midogo.


Pia unashauriwa kutumia mbinu ya mipigo 10.Kufanya hivyo piga 9 mifupi na mmoja ndani zaidi ya u***k**E,tunaposema mifupi tunamaanisha uum**e unaingia ndani kwa levo ya nusu au kichwa tu basi.


3.LAMBA-LAMBA.
Wakati wa kufanya mapenzi,na unapokaribia kifika kileleni,unaweza ukachomoa haraka haraka na kuanza kumlamba sehemu zake vizuri,hii itakusaidia ku re-relax na kuzia kukojoa mapema pia hili litamfanya mpenzi wako awe na mudi pia.Baada ya muda kupita zitakuwa zimerudi, unarudi tena na itakuwa kama unaanza tena upya kugegeda hehehehe!!!(wengine mtaona kama kinyaa ndo mapenzi hayo utafanyaje sasa hehehehe!!)

4.KIBIRITI-NGOMA.
Hii ni stairi nzuri sana na unasaidia sana kwa ajili ya kumfanya mpenzi wako nae afike kileleni mapema sana kabla yako.Kujifunza stairi hii ya kibiriti ngoma 

SMS AMBAZO MWANAMKE HAPASWI KUMTUMIA MWANAUME

Wanaume hupenda sana kuwasiliana na wanawake kupitia kwa SMS na njia nyingine za mitandao. Wanaweza kukusumbua siku nzima na SMS hizi.Halafu pindi ukianza kuongea na wao wanaweza kuja na mitindo mingine ya jumbe ambazo zinakuamuru ufanye jambo flani ama kutaka uwaonyeshe kitu flani.

Ijapokuwa unaweza kuona kuwa ni mbinu nzuri ya kuwasiliana nao, wakati mwingine ni tabia mbaya.

Unaweza ukamtumia mwanaume kitu flani na mwishowe akakudhalilisha ama kukushusha hadhi.

So kama mwanamke, unapaswa kuweka mipaka kwa kile ambacho utamtumia mwanaume. Leo tumekuja na mambo ambayo hupaswi kumtumia mwanaume yeyote wakati wowote ule.

SMS unazopaswa kuepuka kumtumia mwanaume.

#1 Picha za uchi.

Hapa ni moja kwa moja. Usijaribu kumtumia mwanaume yeyote picha zako za uchi. Hata kama atatumia mbinu yeyote usikubali. Kutuma picha za uchi kwa mwanaume kuna madhara makubwa sana. Ukikosana na yeye anaweza kuzisambaza kwa mitandao na aibu ukurudie wewe.

#2 Uongo.

Usitumie uongo wowote kuteka atenshen ya mwanaume. Hii haina manufaa yeyote. Unachotakiwa kufanya ni kuwa mkweli kwa kila kitu ambacho unafanya. Akikupenda tu atakukubali bila kutumia uongo wowote.

#3 “Hallo, mambo vipi?”

Huu ni mfano mmoja wa meseji ambazo huboesha na huudhi. Aina hizi za sms ziwaachie wenyewe. Mara nyingi aina hizi za sms huhusishwa na wanaume ambao wanapata ugumu wa kuwasiliana na mwanamke.

#4 Emoji

Emoji ni nzuri kuteka atenshen ya mwanaume lakini pia lazima ujue matumizi yake. Usitumie emoji za chakula, hoteli, pesa, kuboeka ama emoji zozote ambazo unajua zinaweza kumuudhi yeyote.

#5 SMS pacha

Labda unaweza kusema ni tatizo katika simu yako, lakini hili ni jambo ambalo hupaswi kujaribu. Kumtumia mwanaume SMS za kujirudia rudia unapaswa kuacha. Hii ni tabia ya kuonyesha kuwa una uchu wa kuwasiliana na mwanaume.

#6 Kuandika aya

Kama uko katikati ya mazungumzo, unaweza kuandika aya vile ambavyo unataka wewe lakini kama ndio mazungumzo yanaanza basi hupaswi kuandika ujumbe mrefu. Anza tu na sentensi moja kama tu, hi! Mambo! Niaje! Na SMS kama hizo.

#7 SMS za ulevi

Hizi ni SMS ambazo mtu huandika kimaksudi kana kwamba amelewa. Unamuuliza swali hili yeye anakujibu nje ya mada. Aina hii ya SMS achana nazo. Waachie walevi waendelee nazo.

#8 SMS za kujifanya

Wanawake wengi hupenda kutumia mbinu hii kutaka mazungumzo na mwanaume. Wanakutumia meseji kimakosa halafu wanarudi kusema, “Samahani, nimekutumia sms hii kwa bahati mbaya.”
Mbinu hizi zimepitwa na wakati, achana nazo.

#9 Udaku

Kuzungumza udaku wa wasanii inakubalika lakini kama unataka kuteka atenshen ya mwanaume kwa kutumia udaku ama uvumi wa uongo basi hutafaulu.

#10 Kumuuliza kwa nini hajakujibu

Ijapokuwa utahitaji akujibu kwa nini hakujibu sms zako wakati uliotangulia, mbinu hii si nzuri kabisa. Achana nayo. Hii ni kwa kuwa mara nyingi wanaume ukiwatumia sms kama hii watakuambia kuwa walikuwa busy ama wanaweza kukudanganya ama kuboeka na wewe tu.Upo!? Kazi kwako sasa.

HATUA ZA KUFANYA KAMA MWANAMKE HATAKI KUJIBU MESEJI ZAKO

kuongea na yeye mara ya kwanza. Anapendeza na kuvutia, na unaona kama ni mwanamke ambaye ni yule aliyekuwa ndotoni mwako maishani mwako.

Mazungumzo yenu yanaenda vizuri mpaka ukwamwomba namba yake.Baadaye unajaribu kumtumia text na hazijibu. Labda mnaeza kuchat kwa madakika halafu baada ya hapa anakataa kujibu texts zako.

Unabaki ukijiuliza maswali ni kitu gani ambacho umefanya ambacho umekosea. Ok labda anaweza kuwa yupo buzy unampa muda kiasi ajibu text zako…unangojea masaa, siku, wiki mpaka inafikia wakati unagundua kuwa amekupuuza. Kwa nini hajajibu text zako?

So kwa nini hakujibu text zako?
Katika situation nyingi ni kuwa sababu kuu ambayo amekataa kujibu texts zako ni kuwa haukumpendeza mara ya kwanza ulipokutana naye. Ok labda sababu nyingine inaweza ni kuwa ameibiwa simu yake wakati alipokuwa akitext na wewe barabarani ama kitu kingine kama hicho, lakini hapa acha tumakinike na hatua ya kwanza uliokutana naye…yaani first impression ambayo unakudana na mwanamke yeyote.

1. Hakikisha unampendeza mara ya kwanza unapokutana naye
Anaweza kuwa hana muda mrefu wa kukaa na wewe ili akutambue zaidi so kile kitu ambacho unahitaji kufanya ni kuwa lazima uuonyeshe upendo wako kwa kuwa mpole, mkarimu na mtulivu. Hii itamfanya yeye kumakinika na labda kutaka kukufahamu. Hakikisha kuwa wakati unapoongea na yeye tumia mbinu za kuonyesha kuwa ungependa kukutana na yeye wakati mwingine. Kama hakuonyesha dalili zozote za kukuelewa basi hata kama atakupatia namba yake ya simu fahamu ya kwamba itakuwa ni kazi bure.

2. Taja sababu zako za kuongea na yeye
Mfano: Nimefurahia sana kuongea na wewe. Kusema kweli nimependa maonezi yetu machache. Nataka kwenda lakini naonelea wikendi nitakutext tukutane ili tuongee tena. Hapa utakuwa umeeleza ajenda yako kwake hivyo ukianza kuchat na yeye baadae haitakuwa vigumu kwake kukujibu.

3. Hakikisha kuwa unamtumia text wakati ufaao
Ukiomba namba ya simu kwa mwanamke inamaanisha kuwa wewe umeonyesha intrest kwake vilevile mwanamke akikupatia namba yake ya simu inamaanisha kuwa labda itakuwa amependezwa na wewe. Lakini je, ni muda upi unaotakikana hadi umtext mwanamke huyo.Wanawake wanapenda kuona wanababaikiwa na kufukuziwa. So usijaribu kumtext hapo hapo wakati amekupatia namba yake. Hakikisha umejibatia shughli nyingi ili usahau kabisa kama uchukua namba kwa mwanamke.

Masaa mazuri ambayo yangekuwa sawa ya kumtext ni baada ya masaa 24 baada ya kuchukua namba yake. Hii itamfanya mwanamke yeyote kujiuliza maswali ya kwa nini umechukua muda mrefu kumtext. Itamfanya kuingiwa na maswali ya kama: kwani hajapenda chat yangu? yuko na mwingine? nk. Ukichukua muda huu mrefu hadi kumtext, itakuwa rahisi kwake kukujibi.

ONYO: Hakikisha ya kwamba haupitishi zaidi ya siku tatu kwani anaweza kukusahau kwa haraka ama kuona unampotezea wakati wake.

4. Kitu cha kuandika kwa text yako ya kwanza
Messages za kwanza ambazo utazituma kwa mwanamke zitachangia pakubwa kuona kama wewe uko uko interesting ama unaboa. Unaweza kuuharibu mchezo mzima kama iwapo utaanza kumtext na mambo ambayo hayana manufaa kwake. Kile kitu unachohitajika kufanya hapa ni kuonekana hauna haraka na ujaribu kutumia lugha za kirafiki. Mfano unaweza kujaribu kumtext swala ambalo aliligusia kwa chat iliyopita. Labda aliongea kuhusu kwenda shopping na nduguyake, so swali lakini linaweza kuwa: Je ile shopping yenu na nduguyako iliendaje?. Hii itamfanya kuwa interested na wewe manake ataona ya kuwa ulikuwa umemakinika wakati mlipokuwa pamoja. Hii itamfanya kujibu text zako mara kwa mara bila yeye kuchoshwa.

5. Jaribu kuhepa stori ambazo hazitafikia popote
Mara ya kwanza anaweza kukujibu lakini itafikia pahali atanyamaza. KUMBUKA: Siri kuu ya kumfanya mwanamke ajibu texts zako ni uwe makini kwake, yaani unamtext vtu ambavyo unajua yuko intrested navyo.

6. Weka wazi kuwa unataka mkutano
Acha stori za kumzungusha huku na huku kama wanaume wengine. Ukitaka akujibu text zako hakikisha ya kuwa unadhihirisha azma yako kwa kumwambia kuwa unataka kukutana naye.

7. Usikate tamaa
Kuna wanaume wengine kama wamekataliwa kujibiwa texts zao mara moja basi wanakasirika na wanaachana kabisa na kushungulika tena. Tatizo labda linaweza kuwa mwanamke anakupima akili aone bidii yako kwake. Kama tujuavyo tabia za wanawake ni kuwa hawapendi kuonekana kama ni watu wa kukubaliana na kila kitu hivyo basi wakati mwingine wanakuwa hawaeleweki.


Ukiona mwanamke amekataa kujibu text yako kwa siku tatu, fanya kumtext tena huku ukionyesha kuwa hauna intrest naye sana vile halafu achana naye. Hii itamfanya yeye kuona una interest na yeye lakini hauna haraka. Baadaye anaweza kuanza chat yeye mwenyewe.

KUMBUKA: Kuna sababu tofauti tofauti ambazo zinaweza kumfanya mwanamke kukataa kujibu texts zako. Labda umemtusi, hujampendeza, ni mwanamke mwenye haya nk. So hizi hatua zitategemea na vile imetokea katika situation yako.

KELELE ZA MAHABA KITANDANI

Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa sexy kama mwanamke ambaye anakuwa loud kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu


au sweet words).Mwanaume akiwa kwenye game anapenda sana kujua mke wake anajisikia vizuri kwa kile anafanya na kwamba mwanamke anaonesha total participation, pia vile mke unatamka jina la mume wako kwa manung’uniko ya kimahaba huleta raha sana pamoja na vikelele vingine kama vile ooooh! aaah! mmmh! nk humpa uwezo zaidi mume kuendelea kukurusha kwa namna ya ajabu na kuweza kukuridhisha inavyotakiwa.

Kawaida mume huaanza kukuuliza kama kile anafanya unakipenda na kwa njia hii ni vizuri wewe mwanamke kumweleza vile unajisikia na unaweza kuji-express kwa uwezo wako wote na hapa ndipo unaweza kuongea sweet word zote (ulizojufunza au kadri feelings zako zinavyokupa taarifa kwenye kiungo kile kinapata raha au kinaguswa kwa mguso mtamu zaidi) si unajua mapenzi ni sana na msanii mzuri anajua nini aongee na aongee namna gani na mwanamke umejaliwa kuwa na sauti ambayo kwa miguno na kulalamika kimahaba mnaweza kuwa na sherehe nzuri sana ya kuwa mwili mmoja.Kuwa kitandani ni nafasi kubwa sana mke kuweza kuonesha umaridadi wake haina haja kushona mdomo au kubaki kimya kama vile mume amelala na gogo badala jitume kwa maneno na matendo, huu ni uwanja wako, mume wako, jipe raha na enjoy raha ya mwili.


Piga kelele kwa raha zako na unaweza kutamka kitu kizima kizima bila woga maana huyo ni mume wa ujana wako.Wanaume nao wakati mwingine huwa insecure kama wanawake wakiwa kitandani hivyo kumtia moyo kwa miguno na vikelele vya kimahaba huweza kumpa ushahidi kwamba una-enjoy kile anafanya na kwamba skills zake na utaalamu wake mke unampa credit naye atajisikia vizuri na kufanya zaidi na hata kujifunza siku nyingine afanye kwa ufundi zaidi.
Hivyo usiogope kuwa mbunifu, lazima uwe mshangiliaji mzuri kwenye mechi na mumeo na hiyo itakuhakikishia furaha zaidi wakati wa kuwa mwili mmoja.


kama ni shule basi maksi zako ni zaidi ya 95%Mambo ya kuzingatia
Hata kama wanaume huwa tunafurahia sana mke kuwa noise kitandani ni muhimu kuwa makini na sauti kwani kupiga kelele kama unapigwa na majambazi si ustaarabu kwani mtaa mzima unaweza kuhamaki na kuja kutoa msaada kumbe watu mnapeana raha zenu au mnaweza ku-attract mijitu inayopenda kupiga chabo bure.


Ni vizuri hakikisha chumba kina Mfumo mzuri wa kuchuja sauti kwani mnaweza kushtakiwa kwa kuzingatia kifungu cha sheria cha Antisocial behaviour order kwani baadhi ya nchi zinafuata na mnaweza kuishia jela au mkajenge nyumba yenu huko shamba mpigiane mikelele yenu.

Wanasayansi katika utafiti wao wamegundua kwamba mwanamke anapokuwa na kelele kitandani wakati wa kuwa mwili mmoja mwanaume huwa na asilimia 59 za kukojoa (siyo mkojo) tofauti na asilimia 2 kwa mwanamke kuwa kimya na pia mwanamke huwa na kilele zaidi kitandani akiwa fertile na kwa mwanamke kuwa na kilele speed ya mwanaume na uwezo wa kusugua huongezekana maradufu wakati wa kuwa mwili mmoja

HATUA ZA KUAPPROACH WANAWAKE KATIKA KIKUNDI BILA KUKATAA

Kuapproach wanawake wakiwa katika kikundi ni jambo gumu sana kwa mtu yeyote kutimiza.

Hata kwa wale ambao wanajiamini mbele ya wanawake inafikia wakati flani wanapatwa na changamoto moja au nyingine. Lakini kama kawaida mambo kama haya yanaeleweka kwa kuwa unaaproach wanawake wengi wakati mmoja na pia kunaweza kutokea maswala mengine ambayo yanaweza kujeuka changamoto kwako. 

Kuapproach wanawake wakiwa kwa kikundi si sawa na kubadilisha gemu ya kutongoza mwanamke mmoja bali ni mbinu tofauti kabisa ambayo inahitajika kutumika. Mbinu ambayo lazima uijue na kuielewa. 

Kwa nini unahitajika kujua kutongoza wanawake katika kikundi 

Jambo muhimu ambalo unapaswa kujua wakati unapoapproach wanawake kwa kikundi ni kuwa unaaproach kundi zima, na wala si mwanamke mmoja ambaye unataka kuongea naye. Kama unaaproach kwa kikundi, ni vyema uende pekeako. Mkiapproach kama kikundi mnaweza kuonekana kuogopesha na wanyemelevu, hivyo ni vizuri zaidi kama marafiki zako watangojea kwa dakika, ili uweze kuwatambulisha vyema kwa kikundi hicho cha wanawake. 

Wasalimie wanawake wote wakati mmoja 

Ikija na swala la kusalimia wanawake katika kikundi, ni vizuri kuwasalimia wote wakati mmoja. Vile ambayo utawasalimia wanawake katika kikundi ni kama vile utakavyomsalimia mwanamke mmoja; unatoa matamshi ya mizaha na ucheshi, halafu inafuatiliwa na tabasabu halafu sasa unaanza kufunguka zaidi kwa kuongea zaidi na wale wana kikundi ambao wanapenda kuongea. Ni bora kuwasalimia wanawake wote kwa wakati  mmoja hata kama kuna mwanamke kikundini ambaye ulitaka kumvizia ama kuongea naye.

Hii haitaonyesha ya kuwa unakimbilia kukutana na mwanamke mrembo pekee, bali unajionyesha ya kuwa umekuja hapo kujumuika na watu na kuinjoy muda wako ipasavyo. 

Ipunguze makini yako 

Pindi unapoendelea kuongea na wanawake wote, halafu rafiki au marafiki zako wakatokezea, inakubalika kupunguza umakini wako hadi kwa mwanamke mmoja au wawili. Labda bado unataka kuongea na mwanamke ambaye ulimpangia kuongea naye, ama umepata mwanamke mpya kutoka kwa kikundi hicho, unaweza kuyapendua maongezi yako zaidi. Unaweza kuanza na maneno rahisi kama “nimependezwa nawe” ama “unaonekana uko sawa.” Hapa unapaswa kumsifu mwanamke kando na umbo lake, halafu baadaye uanzishe gumzo la “nataka kukujua zaidi” 

Jaribu kuwa na kisaidizi 

Kuwa na kisaidizi wakati unaaproach wanawake katika kundi kubwa inakuwa rahisi sana. Kwa mara, wanaweza kuchat na wanawake wale wengine huku wewe ukimakinika na mwanamke mmoja ambaye ulikuwa umeazimia kukutana naye. Zaidi ni kuwa wanaweza kutoa presha ambayo inakuja wakati unapotaka kuapproach, hii inasaidia kwa kuwa inakupa ujiaminifu kama mwanaume wakati unapoapproach wanawake katika kikundi.  Sababu ni kuwa unajua kuwa usaidizi hauko mbali na wewe na muda wowote wanaweza kutokezea ili kuondoa presha zozote ambazo zinaweza kujijenga.

Mtenge mmoja kutoka kwa kikundi 

Kama kuna mwanamke ambaye umeonyesha interest kwake, jaribu kutafuta wakati muwe pekeenu. Hii haimaanishi ya kuwa ni lazima mujitenge katika sehemu moja ya hio klabu ama baa bali pia inaweza kumaanisha ya kuwa unaweza kuamua kutoka ziara hadi katika mkahaha ama sehemu nyingine ya kuvutia ambayo itawaruhusu nyinyi wawili kupata nafasi ya kuongea moja kwa moja ili mjuane vyema zaidi

Maneno sita ya kumfurahisha mpenzi wako

Mnakubaliana nami kuwa kupenda mtu ni tofauti na kuishi kwa upendo. Kumpenda mtu ni rahisi lakini kwa kuishi huo upendo, yaweza kuwa ngumu kidogo. Ian Isherwood anasema kuwa kurudiarudia huu mshororo wenye maneno matatu tu, “I Love You” Mara kwa mara haitoshi kuweka mapenzi ya uhusiano wenu kunoga zaidi milele. Kuna Sentensi sita muhimu sana ukimwambia mpenzio mara kwa mara napenzi yenu yafikia upeo.

Kila mtu ana njia yake ya kumwonyesha mpenzi wake kuwa anampenda na kumjali. Haijalishi ni maneno yepi hutumia. La maana ni kwamba uhusiano wake na mpenziwe unadumu kwa raha tele.

Ukitumia maneno mazuri kwa mpenzi wako unampa furaha na kumwonyesha kuwa yeye ndiye mtu wa kipekee kwako duniani. Kama unaye mpenzi, anza kutumia , maneno haya sita na uhusiano wako utakuwa wenye raha;

1. Nimebahatika kuwa nawe
Kumwelezea mpenzio vile unajisikia kubahatika kuwa naye katika maisha yako ina uzito zaidi kuliko ” Love You”.
Wakati unampenda mtu sana unajiona duni kwamba hata kuona amekufanyia fadhila ({Favour) kuwa nawe. Yaani ni kama huna cha kumrudishia kama shukrani kwa upendo wake kwako. Ukisema haya wamfanya kujiskia amependwa na kwamba unafurahia anayokufanyia.

2. Pole/ Samahani 
Kusema Pole baada ya kukoseana au majibizano madogo huongeza mapenzi katika ndoa yenu. Kusema “pole” haitamaanishe eti wewe ni hafifu sana kumliko mwenzio. Kila ndoa huwa na majibizano, wivu na kutoelewana. Lakini baada ya hayo yote, sema “pole” na kwa ukweli yatapoa!

 3. Nimekusamehe 
Ni vigumu kwa mtu kuomba msamaha lakini ni vigumu zaidi kusamehe mtu. Msamaha ni jambo muhimu sana katika uhusiano.

Ni ngumu sana kuifanya mara kwa mara lakini ndiyo huongoza na kupeana mwelekeo wa ndoa. Haina haja kushikilia mabaya ili kuharibu ndoa yako. Msamehe tu!

4. Nipo hapa kwa ajili yako 
Ukimpenda mtu, mkubali kwa jiinsi alivyo kwa uzuri au ubaya. Hakuna aliyekamilika. Wakati mwenzako anapitia magumu, hakuna maneno yanayompa nguvu kuliko ” Nipo hapa kwa ajili yako” kutoka kwa ampendaye. Maneno haya humhakikishia mwenzio kuwa una yeye katika hali zote za kimaisha.

5. Nakuamini 
Bila kuaminiana ndoa haiwezi dumu. Ndoa hupata majaribu hata ikiwa ya miaka hamsini! Lakini la muhimu sana ili kudumisha mapenzi katika ndoa ni uaminifu.

Ukimwambia mwenzako unamuamini, basi umeondoa hisia za mbaya kumhusu kama wivu ambao ni hatari sana kwa ndoa.

6. Nijitolea kwako kikamilifu 
Kujitolea kwa hakika kwa mpenzio huonyesha kuwa ulimchagua yeye pekee, kawa mwaminifu na kampeda kwa dhati. Kila mtu hutaka kuhakikishiwa kuwa ni yeye tu katika uhusiano. Usione ni kawaida kuwa na mpenzio.

Watu wengine hutumia maneno haya kwa nia mbaya. Kama kukushawishi mshiriki mapenzi ama kujinufaisha kifedha. Usidanganyike! angalia pia matendo yao kama yanaambatana na maneno yao.

Design a site like this with WordPress.com
Get started